Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati
1. Programu Endeshi Android:
Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya
‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’
> Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’
2. Programu Endeshi - iOS
Bofya Mipangilio (Settings) > Kisha 'General' > Halafu 'iPhone
Storage' > Chagua 'App' unayotaka kuiondoa > Bofya 'Offload App'
ikiwa unataka ikupe nafasi ila taarifa zake zibaki AU bofya 'Delete App'
ikiwa unataka kuiondoa na taarifa zake
Ni muhimu kufuta au kufunga programu ambazo huzitumii au zilizopitwa na wakati kwani vinaweza kuendelea kukusanya taarifa zako
Aidha, Programu ambazo hazijatumika kwa muda mrefu zina hatari kubwa
zaidi ya kushambuliwa na wadukuzi au kuvujisha taarifa binafsi.
Pia, kifaa chako kitaenda kwa kasi zaidi endapo programu na faili zisizotumika zitafutwa
.KARIBUNI SANAKATIKA BLOG PENDWA.
. MAGENHIRO BLOG TUNAPATIKANA KATIKA
MITANDAO YA KIJAMII KAMA VILE FACEBOOK'
WHATSAPP, TWITTER, INSTAGRAM,NK.AU TUPIGIE KWA +255 768163863>>0782735888
Chapisha Maoni