Leo nitajaribubu kueleza na kufafanulia namna ya kuishi na mwanamke katika ndoa bila mzozo na mikwaruzo.
Hii ni kutoka na experience yangu binafsi katika ndoa pamoja na utafiti
wangu kayika jambo husika nikishirikisha watu mbalimbali wa rika tofauti
walio katika ndoa
Hii inahusu walio katika ndoa kwa maana ya wanaoishi pamoja kama
familia.(sio lazima wawe wamefunga ndoa za kanisani ama
misikitini).Maana kwa tafsiri yangu mm kuishi pamoja tayr ni ndoa hayo
mengine ni mbwembwe.
Haya twende kazi.
1. Kua makini na kauli zako ukiwa katika mazungumznyesha
kumthamini kwa jinsi alivyo.Mpe umuhimu sana.Usimfananishe kwa namna
yoyote na mtu wa chini.Mwambie yeye ni mzuri kila mara hata kama sio
kweli.Isifie tabia yake huku ukimkosoa kwa kimwambia kwba akiacha hiki
atakua perfect.
2. Msifie kila anapopika chakula.Kisifie na shukuru kila umalizapo
kula.Mwambie amepika chakula kitamu kuliko jana.Kama una mfanyakaz wa
ndani, hakikisha ukisifii chakula chake mbele ya mkeo, onyesha
kutoridhika kila ukila chakula alichopika mtu mwingine tofauti na yeye.
3. Akivaa nguo msifie na mwambie imemtoa vizuri hata kama kavaa pajama
na ametoka kama mjusi(butuku).Mwambie anajua kuchagua na kupangilia
mavazi.Lakini kma kweli unamaanisha ni sawa lakini kama sio sawa basi
hakikisha unakwendanae ahopping na kumshauri anunue mavzi unayopenda
avae.
4. Mtoe out mara kwa mara mkiwa na wanenu(kwa walio na watoto).Mkiwa out
isifie familia yenu kwamba mmependeza sana kuliko wote waliopo
pale.Mwambie unampenda kila mara.Muulize anapenda nini mkiwa out.Siku
moja moja mlale huko huko hasa weekends.Mwambie tena kwamba nampenda
sana .
5. Wasifie watoto wenu mbele yake.Mwambie amezaa watoto wazuri kama yeye
hata kama sio wazuri.Mwambie ana mbegu nzuri na ungependa akuzalie
zaidi.mkumbatie pamoja na watoto.Mpige busu mbele za watu mwbie
mmeendana sana.Siku moja moja yoa chozi wakati ukimwangalia
machoni.Mwambie yeye ni mzuri sana.
6. Jitahidi kumuuliza kuhusu ndugu zake na ongea na wazazi wake mara kwa
mara.Ongea na mama yake mbele yako cheka kwa sauti mwambie mama yako
mkarimu sana na kwba amepata mama bora.Usimlazimishe aongee na mama yako
wala ndugu zako.Mwambie ndugu zake waje kusalimia mara kwa mara.
7. Kila baada ya sex mwambie ye ni mtaalam hata kama hua analala kama
jiwe.Mwambie yeye ni mwanamke wa maisha yako.Mwambie anakuridhisha sana
na huna haja na mtu mwingine.mwambie anajua kukata mauno na muulize kam
alifundwa ama la!, Mwambie kwamba ulipokua mdogo ulitaka kuoa wanawake
wawili lakini kwa sababu yake huna mpango tena.Hakikisha kama mwanaume
umemridhisha kweli ili kuziba loop holes za yeye kupigwa na men
wengine.Mnyonye kila mahala na umfanyie vitu adimu ambavyo unahisi huko
shule, chuona popote kabla yako hakufanyiwa.Mpe staili zote ngeni
unazojua.Mfanyie rough sex mara kwa mara maana hiyo hua inawapagawisha
wengi.
8. Ukisafiri au ukiwa kazini mpigie simu mara kwa mara kumjulia hali
mwbie umemisi sana na unatamani siku iishe.Mwambie unamuwaza sana mpaka
kazi haziendi.muulize chakula alichopika na kisifie mwambie you can't
wait to be there, hata kama kapika makande.Muachie kiasi chabkutosha na
mwambie yeye ndiye baba wa famili kwa wakati huo aiongoze familia.Onesha
kumwamini sana kwa kila anachofanya.
9. Usifanye kosa kuyongoza wadada ama wanake wa mtaani kwako, unesha
kuwadharau mbele yake.Usiwasifie wanawake mbele yake.Wasingizie tabia
mbaya rafiki zake hata kama si kweli.Onesha kutokupenda mienendo
yao.Usisimame na majirani(wanawake) hata mara moja hata kama
hayupo.Ukisalimiwa na wadada ama wanawake wa mtaani kwako itikia kizembe
(kama vile radio iliyoisha betri) na wakati mwingine usiitikie
kabisa.Taarifa zitamfikia kwamba unadharau na maringo.Hapo yeye moyoni
atafurahi sana utasikia anakwba 'uwe unaitikia bby jamani'.
10. Ongea ndoto zako kila mara ukiwa nae na nn umeplani kwake.Mwambie
unatak awe mfanya biashara mkubwa tz au EA.Mwambie anaweza kuajiri watu
wengi.Mwambie yeye ni boss mtarajiwa.
Hata kama mmepanga mwambie mtamiliki nyumba yenu na mtakua na wapangaji
wengi.Usioneshe unyonge mbele yake wa udhaifu kabisa.Usiseme huna hela
mbele yake hata kama huna kweli basi kopa please.
11.Kama mnamiradi mpe aisimamie yeye na awakontrol wafanyakazi
yeye.Mwambie unamwamini japo kia makini sana na hilo.Hakikisha faida
inapatikana.
NB: Wanawake hawaeleweki, ukiona umefanya hayo yote bado haeleweki usishangae endelea tu kubuni mengine.
Mimi pamoja na kufanya hayo yoote lakini kuna wakati hua namnasa vibao wife
KARIBUNI SANAKATIKA BLOG PENDWA.
. MAGENHIRO BLOG TUNAPATIKANA KATIKA
MITANDAO YA KIJAMII KAMA VILE FACEBOOK'
WHATSAPP, TWITTER, INSTAGRAM,NK.AU TUPIGIE KWA +255 768163863>>0782735888
Chapisha Maoni