Rais wa Somalia Mohammed Abdullahi Farmajo amesema moja ya ngome kubwa za wapiganaji wa Al-Shabaab zimeharibiwa vibaya baada ya shambulizi lililofanywa na vikosi vya Marekani.
Amesema kuwa vikosi maalum vya jeshi la Somalia vinavyopata mafunzo kutoka vile vya Marekani pia vilihusika kuwashambulia Al-Shabaab.
Vikosi vya Marekani vimethibitisha kufanya shambulizi hilo Kusini mwa Somalia.Haijajulikana kama pametokea uharibifu mwingine wowote.
Siku ya Alhamisi vikosi vya Al-Shabaab viliua watu 59 katika shambulizi kwenye mji wa Puntland Kusini mwa Somalia.Marekani katika anga ya puntland.
KWAMATANGAZO YA BIASHARA KWAYA NYIMBO AINA ZOTE HABARI YEYOTE TUPIGIE SASA KWA NUMBE,WHATSAPP FB //0623372368=0768163863
Chapisha Maoni