HUYU NI MOJA WA WACHEZA NGOMA NZURI HUKO GEITA MAAARUFU KAMA NG'WANANG'HUNE MKAZI WA MHARAMBA NKOME GEITA MUANZILISHI WA NYIMBO ZA GOBO GOBO HUKO GEITA 'HII GOMA IMETAPAKAA HADI HUKO BARIADI NA PA NDE ZOTE,HII NGOMA HUTUMIKA ZAIDI MASHAMBANI HASA WAKATI WA KULIMA MASHAMBA PIA WAKISHAVUNA HUBADILISHA NGOMAHII NAKUCHEZA NGOMA YA BUBILINGI HIYO NI YA MAVUNO SASA HEBU TUITAZAME HII NGOMA NATUCHEZE SOTE
KWAMATANGAZO YA BIASHARA KWAYA NYIMBO AINA ZOTE HABARI YEYOTE TUPIGIE SASA KWA NUMBE,WHATSAPP FB //0623372368=0768163863
Chapisha Maoni