Wanajeshi wanasema kuwa wamepiga hatua kwa saa chache wanapojaribu kuwatimua wanamgamboHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionWanajeshi wanasema kuwa wamepiga hatua kwa saa chache wanapojaribu kuwatimua wanamgambo
Huku vita kati ya serikali ya Iraq na wapiganaji wa Islamic state vikiendelea kushika kasi mjini Mosul, raia waliokwama katika mji huo watakabiliwa na majanga makubwa, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.
Kulingana na Mratibu wa misaada ya kibinadam wa umoja huo, Lise Grande, raia wa Mosul wanakabiliwa na ukosefu wa chakula, maji, dawa na umeme.
Raia wanaojaribu kutoroka wanauwawa na Islamic state.
Rai wakwama Mosul huku mapigano yakiendeleaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionRai wakwama Mosul huku mapigano yakiendelea
Kumeibuka ripoti kwamba walenga shabaha wa Islamic state wamekuwa wakiwauwa watoto kimakusudi.
Wanajeshi wanasema kuwa wamepiga hatua kwa saa chache wanapojaribu kuwatimua wanamgambo hao kutoka ngome zao za mwisho katika mji wa zamani wa Mosul.
Maelf ya raia wameukimbia mji huo wa kaskazini tangu jitihada za kuukomboa zianze mwezi Oktoba mwaka uliopita.
Mapigano yamesababisha kuhama zaidi ya watu 500,000Haki miliki ya pichaAFP
Image captionMapigano ya Mosul yamesababisha kuhama zaidi ya watu 500,000
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top