Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTrump na Macron walisamiana vipi Brussels?Image result for TRUMP  GREAT PEOPLE

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amekiri kuwa, mkono wa nguvu aliompa Rais Donald Trump katika mkutano wa NATO mjini Brussels siku ya Alhamisi, ulikusudiwa kuwa hivyo.
Mkono huo aliompa Rais Trump umezungumzwa sana.
Bwana Macron aliliambia gazeti moja la Ufaransa, alitaka kuonesha kuwa Ufaransa haitoridhia vitu vidogo hata kama havina maana.

Trump na Macron walisamiana vipi Brussels?Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTrump na Macron walisamiana vipi Brussels?

Wadadaisi wanasema Rais Trump anapompa mtu mkono, ana tabia ya kumvuta yule mtu kwake, kuonesha nani anamshinda mwenzake kwa nguvu na hadhi.
Viongozi hao walikutana mjini Brussels kabla ya kufanyika mkutano wa NATO
Wakatai wawili hao wakisalimiana kwa sekunde kadha bwana Macron na Trump waliangaliana macho kwa macho kwa muda hadi pale Trump alijaribu kuangalia kando
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top