: Mjadala wa kumuenzi nguli wa rhumba DRC waendelea

g

Chanzo cha picha, Getty Images

Fares juma magenhiro

Leo Oktoba 13, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Afrika na dunia wanamkumbuka mwanamuziki nguli na kiongozi wa bendi ya TPOK Jazz, Franco Luambo Luanzo Makiadi aliyefariki dunia miaka 35 iliyopita akiwa na umri wa miaka 51.

Nguli huyo wa muziki wa rhumba wa DRC aliyefariki mwaka 1989 nchini Ubelgiji, alikuwa alisifika mno kwa utunz wa nyimbo, uimbaji na upigaji wa ala za muziki hususan

KARIBUNI SANA KATIKA BLOG YETU YA MAGENHIRO BLOG ,TUNATANGAZA MATANGAZO YEYOTE KWA UFANISI ZAIDI 

TUTAFUTE KWA WHATSAP+255768163863