Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen, amejitolea kuielezea Uchina namna Taiwan ilivyojibadilikaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRais wa Taiwan, Tsai Ing-wen, amejitolea kuielezea Uchina namna Taiwan ilivyojibadilika
Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen, amejitolea kuielezea Uchina namna Taiwan ilivyojibadilisha kutoka mfumo wa chama kimoja cha siasa, na kuwa demokrasi iliyochanua.
Pendekezo hilo la Bi Tsai, linaweza kuonekana Uchina kuwa uchokozi, wakati siku inakaribia ya kukumbuka mauaji ya Medani ya Tiananmen, miaka 28 iliyopita ambapo jeshi la Uchina liliwaua waandamanaji waliotaka mabadiliko ya kisiasa.Wakuu wa Uchina wanaidharau siku hiyo na wanawazuwia wengine wasiikumbuke.
Bi Tsai aliisihi Uchina ikubali matukio ya tarehe 4 Juni, mwaka 1989.
Taiwan
Image captionTaiwan
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top