tenesiHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJo Wilfried Tsonga wa upande wa kulia akimpongeza Gilles Muller baada ya mchezo kumalizika

Mfaransa Jo-Wilfried Tsonga ameondolewa kwenye michuano ya Aegon, inayoendelea nchini England na Gilles Muller kutoka Luxembourg
Muller hana jina kubwa katika ramani ya mchezo wa tenesi alimfunga Tsonga kwa seti mbili katika raundi ya pili ya mchuano wao.
Katika seti ya kwanza Muller alishinda kwa 6-4 na seti ya pili akishinda kwa 6-4.
Tsonga anakua nyota wa nne kutupwa nje ya mashindano hayo baada ya Andy Murray, Stan Wawrinka na Milos Raonic kuondolewa hapo siku ya jumanne .

KWAMATANGAZO YA BIASHARA KWAYA NYIMBO AINA ZOTE HABARI YEYOTE TUPIGIE   SASA KWA NUMBE,WHATSAPP FB //+255 623372368=+255768163863

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top