UONGOZI WA BLOG YA WWW.MAGENHIRO.BLOGSPOT .COM UNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUWA MMILIKI WA BLOG MR MAGENHIRO -SABODE- BUYAGA ,KAFIWA NA BABA YAKE BWANA SABODE =MAGENHIRO ALIYE FARIKI JANA MAJIRA YA SAA KUMI NA MOJA JION KATIKA HOSPTALI ILIYOPO SEKETULE JIJINI MWANZA KUFUATANA NA MSIBA HUO HATUTA RUSHA HABARI KWA MDA KIDOGO ,KUFUATANA NA MSIBA WA BABA YAKE NA MAGENHIRO ULIYO TOKEA HAPO JANA YA TR 22/06/2017 NDG JAMAA NAMARAFIKI INATUPASA KUJUMUIKA NA MWENZETU HUYU'MR MAGENHIRO KWA MSIBA WA BABA YAKE,MAANA MAANDIKO HUSEMA KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI NA MUNGU AILAZE 'ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEPEMA PEPONI AMIN''
Chapisha Maoni