Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba basi la Wibonela lililokuwa linatoka Dar es salaam kuelekea Kahama mkoani Shinyanga limegongana na basi la Takbir katika eneo la Kibaigwa mkoani Dodoma ambapo ujenzi wa barabara unaendelea.
Taarifa za awali zinasema watu kadhaa wamejeruhiwa.
KWAMATANGAZO YA BIASHARA KWAYA NYIMBO AINA ZOTE HABARI YEYOTE TUPIGIE SASA KWA NUMBE,WHATSAPP FB //+255 623372368=+255768163863
Chapisha Maoni