Image result for FUTARI YA RAMADHANIHali ya kiuchumi kubadili utaratibu wa futari nchini Tanzania


Hivi sasa waislam duniani kote wamo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani , nchini Tanzania imezoeleka waislam kufuturu nje ya nyumba kama sehemu ya ukarimu kwa wageni na wapita njia mbalimbali ambao huweza kujumuika na familia hizo kupata futari, lakini katika miaka ya hivi karibuni utaratibu huo hautumiki sana, je tatizo nini?
Mwandishi wa BBC munira Hussein alitembelea maeneo kadhaa na kuandaa taarifa ifuatayo.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top