Na Mwandishi wetu, TANGA
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndg. Mary
Pius Chatanda (MCC) ametembea mtaa kwa mtaa kuhamasisha makundi
mbalimbali ikiwemo Vijana, Wanawake, Wazee na Wajasiriamali
wadogowadogo katika soko la Bungu kwenda kujiandikisha kwenye Daftari la
Mkaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba
2024.
Chatanda
amewataka wananchi wote wa Kata ya Lewa, Lutindi na Bungu kujiandikisha
kwenye Daftari la Mkaazi kwani ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri
kuanzia miaka 18. Pia amewataka kujitokeza Kipindi Cha kugombea
kitakapokuwa tayari na kuhakikisha wanapiga Kura Kwa Wagombea wenye
sifa.
Wakati
huo huo Mwenyekiti huyo ametembea mtaa kwa mtaa kuhamasisha makundi

Chapisha Maoni