Ewe msanii wa nyimbo za Asili unaarikwa, katika Studio zetu za Arecord Sasa kujakutengenezewa kazi maridadi kabisa ambayo haina karaha katika usikilizaji na wapenzi wa  wa Sanaa yako Studio zipo mkoa wa shinyanga na Nzega Tabora .Nastudio zetu hazina usumbufu wawateja wetu, huduma safi na haraka zaidi, Tupo kahama mjini pia Nzega mtaa wa mapolomoko ,Katika historia A record nistudio professional Katika utengenezaji na uzalishaji wa kazi za watu ama wasanii Arecord ina pro mahili wazoefu wa kazi Katika Sanaa ,, Arecord hatuna longo longo Katika kazi" A record Wana vinanda vya kisasa zaidi wanavyo tumia hasakatka studio za Miziki ya kisasa Kama vile bongo flever ,kwahiyo mziki upo safi hauna kelele Wala voko finyu ,Katika ufunguzi wa studio hizi Sasa A record Yanzega kwanzia mwenzi huu ewe msanii inakualika uje utengeneze nyimbo yako itakayokuhimiza wewe uendelee kuipenda sanaa bila kuichoka ,A record ni studio kubwa katika kanda yote ya ziwa.Sasa popote pale ulipo unakaribishwa Uje ufanye kazi na Studio hizi zilizo na ubora wa hali ya juu usiogopeshwe na ukuu wa kitu studio hizi pia zinabei elekezi Wala siyo bei kubwa katika kurecord product yako ,bei sawa na bule tu .Fika Sasa Nzega ujionee tofauti katika maisha yako ya muziki ,na uletewe manufaa Kama yote ,A record tunajali ,tunathamini,tunakuelewesha ,na pia tunakulinda katika sanaa yako ,A record tunafanya kazi masaa 24 kwa HUDUMA zilizo za haraka iwezekanavyo tunapatikana Mitandao yote ya kijamii whatsap"Instagram, Facebook,tweter, blog,Youtube ,Pia tutafute kwa Number +255 768763679/+255 782735888 A record ni studio za wahemiwa fika utapokerewa vizuri huduma Kama zote Nzega kahama Nyote mnakaribishwa.

    Chazo MAGENHIRO BLOG
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top