MIILI YA WANAJESHI WA UGANDA WALIO UWAWA SOMALIA YA WASILI NYUMBANI A+ A- Print Email Image captionMiili ya wanajeshi wa uganda yawasili nyumbani Miili ya wanajeshi 12 wa Uganda waliouawa nchini Somalia siku ya Jumapili imesafirishwa nyumbani. Shere ya kijeshi ilifanyika wakati miili hiyo iliwasili uwanja wa ndege wa Entebbe.
Chapisha Maoni