1. Image result for BUS LA SHARON  LAPATA AJALI LEO ARUSHA
    Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.


    Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.


    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top