Diego Costa
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uhispania, Diego Costa amepiga picha za video akifurahia likizo yake huku akiwa amevalia jezi ya Atletico Madrid.
  • Katika picha hizo za video alizopakia kwenye mtandao wake wa Instagram, nyota huyo alivaa jezi ya timu yake hiyo ya zamani, huku akiandika ujumbe kwa mchezaji mwenzake Cesc Fabregas kuwa amkumbatie meneja wao Antonio Conte.Mustakabali wa Costa bado haujawekwa sawa toka nyota huyo alipobainisha kuwa Conte alimwambia kuwa hahitajiki tena kwenye klabu hiyo.
    Matokeo hayo yamemfanya Costa mwenye umri wa miaka 28 kuachwa katika kikosi cha Chelsea kilichoanza maandalizi ya msimu ujao huku kukiwa na matumaini ya kupata klabu mpya.

    KWAMATANGAZO YA BIASHARA KWAYA NYIMBO AINA ZOTE HABARI YEYOTE TUPIGIE   SASA KWA NUMBE,WHATSAPP FB //+255 623372368=+255768163863

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top