Alex De Kock alipiga picha hii akitazama kimbunga hicho kutoka kilima cha Signal Hill mjini Cape TownHaki miliki ya pichaIMAGE COPYRIGHT
Image captionAlex De Kock alipiga picha hii akitazama kimbunga hicho kutoka kilima cha Signal Hill mjini Cape Town
Watu 8 wamefariki baada ya kimbunga kikali kugonga mji wa Cape Town, Afrika Kusini; upepo mkali ambao vyombo vya Habari vya Afrika Kusini, vimeutaja kama "mama wa vimbunga vyote".
Taasisi zote za elimu zikiwemo vyuo vikuu vimefungwa, huku paa za nyumba na zikifumuliwa na upepo huo mkali.Manusura wametafutiwa makao mapya mahala salama.
Kimbunga hicho kinagonga baada ya kumalizika kwa ukame mkali wa karne kulikumba taifa hilo.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top