Tuzo hizo zitakabidhiwa huko Monaco
Image captionTuzo hizo zitakabidhiwa huko Monaco
Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza kuanza kutolewa kwa tuzo tano mpya za wachezaji bora wa mwaka kuanzia Agosti hii ambazo washindi wake watapatikana toka kura za makocha na wanahabari.
Tuzo hizo zitakabidhiwa huko Monaco nchini Ufaransa hapo Agosti 24 wakati wa droo ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya.
Tuzo hizo 5 mpya ni kwa wachezaji waliofanya vyema kwenye mashindano ya klabu ya UEFA kwa msimu uliopita, kwa mwaka 2016/17,na zitatolewa sambamba na za mchezaji bora wa mwaka kwa wanaume na na wanawake.
KWAMATANGAZO YA BIASHARA KWAYA NYIMBO AINA ZOTE HABARI YEYOTE TUPIGIE   SASA KWA NUMBE,WHATSAPP FB //0623372368=0768163863
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top