Garrincha alifariki mwaka 1983
Image captionGarrincha alifariki mwaka 1983
Vyombo vya habari nchini Brazil vinasema kuwa mifupa ya gwiji wa zamani wa soka nchini humo Manuel Francisco dos Santos maarufu kama Garrincha, inaweza kuwa imepotea zaidi ya miongo mitatu baada ya kifo chake akiwa na miaka 49.
Kuna makaburi mawili ambayo yote yana majina yakemjini Rio de Janeiro lakini inawezekana kati ya hayo hakuna hata moja ambalo ni lake.
Garrincha (kushoto) na Pele walitengeneza safu hatari ya ushambuliaji Brazil
Image captionGarrincha (kushoto) na Pele walitengeneza safu hatari ya ushambuliaji Brazil
Mmoja wa wahifadhi wa makaburi hayo anasma kuwa mifupa yake inaweza kuwa ilihamishwa miaka kadhaa iliyopita ila haijulikani wapi haswa ilipelekwa.
Garrincha mpinzani mkubwa wa Pele wa ni nani zaidi katika historia ya soka kwa nchi hiyo,aliisaidia nchi yake kutwaa kombe la dunia mwaka 1958 na 1962.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top