Habari tulizozipata hivi punde katika chumba cha habari cha Malunde1 blog ni kwamba zaidi ya watu watatu wamepoteza maisha baada ya Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na Land Cruiser asubuhi hii katika eneo la Izengwabahara Segese Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. 

Inaelezwa kuwa Hiace ilikuwa inatoka Kakola kwenda Kahama Mjini na Landcruiser ilikuwa inatokea Kahama Mjini.

Taarifa kamili tutawaletea hivi punde... 





Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top