Image result for AJALI YA BUS MANYARAHabari zilizotufikia hivi punde kutoka mkoani Manyara zinasema kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.

Mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Taarifa kamili tutawaletea hivi punde...
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top