Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionImage result for al shabaabHii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya

Ripoti kutoka kusini mwa somali zinazema kambi ya wanajeshi wa Kenya imevamiwa viungani mwa mji wa Kulbiyow nchini Somalia.
Milipuko kadhaa iliripotiwa kusikika kutoka eneo hilo.
Inaarifiwa kuwa vikosi vya Kenya vimejibu vikali uvamizi huoMapema mwaka huu, maafisa kadhaa wa Kenya waliuwawa na wanamgambo wa Al shabaab waliovamia kambi yao.

Somalia
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top