Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.

Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘


KAMA UNA MATANGAZO YA BIASHARA WASILIANA NASI 062337236

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top