New Video : MAMA USHAURI- NANI KAMA MAMA? - DEMO


Ninacho kipande kidogo cha video ya wimbo mpya wa msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri kutoka Tinde - Shinyanga inaitwa "Nani kama mama ?"

Nani kama Mama? ni video mpya yaMama Ushauri anayotarajia kuiachia hivi karibuni .

Video hii imeongozwa na Jackson kutoka J Production Studio,Dar es salaam anayepatikana kwa simu namba 0743-943675.

Tumia sekunde zako chache tu kutazama kipande kidogo cha video hii kali (Demo).

Kama Una 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top