Image result for BANK KUU TANZANIA BOT

BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imeifungia Benki ya Wananchi Mbinga (MCB), kufanya kazi kutokana na kukosa mtaji wa kutosha.
Mtandao wa mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (MBINGONET) wilayani humo umedai, kufilisika kwa benki hiyo kumesababishwa na viongozi. Umesema viongozi walikosa umakini katika kazi, usimamizi na utekelezaji wa majukumu.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Chapisha Maoni

 
Top