Jaymannellyc: habari: CHADEMA WAMWANDALIA SHEREHE WEMA SEPETU, WAPAMBE 500 WA WEMA NAO KUIBUKIA CHADEMA Monday, February 27, 2017 habari, siasa CHAMA cha...mfumo wa kuhama mtandao
0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliani,
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliani, Profesa Makame Mbarawa
Kwa ufupi
Profesa Mbarawa amesema huduma hiyo imeanzishwa ili kumpa uhuru mtumiaji wa kuchagua huduma bora, jambo litakalowafanya watoa huduma kuboresha huduma zao.
ADVERTISEMENT
By Peter Elias, Mwananchi pelias@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliani, Profesa Makame Mbarawa amezindua rasmi huduma ya kuhama mtandao (MNP) na kuwaonya watoa huduma (mitandao) watakaowakwamisha wateja wao kuhama.
Profesa Mbarawa amesema huduma hiyo imeanzishwa ili kumpa uhuru mtumiaji wa kuchagua huduma bora, jambo litakalowafanya watoa huduma kuboresha huduma zao.
Amesisitiza kwamba matumizi ya mfumo wa MNP yatafanikiwa kwa sababu ni rahisi ukilinganisha na ule wa kuhama kutoka analogi kwenda digitali uliofanyika miaka michache iliyopita na kuipa sifa Tanzania.
"Tunataka wananchi wajue kwamba huduma hii ni bure na wasilazimishwe kuhamia mtandao fulani kwa kushinikizwa. Hii ni Huduma ya hiari na hatutasita kuchukua hatua kwa kampuni ya simu itakayokiuka utaratibu huu," amesema.
Huduma hii ya MNP katika Afrika inatumika katika nchi nane, lakini kwa Afrika Mashariki inapatikana Kenya pekee na Tanzania leo inakuwa ya pili wakati nchi za Rwanda na Uganda wakiwa kwenye mchakato huo.
0
ADVERTISEMENT
Habari
SSRA yazindua mfumo wa Tehama kwa wanachama
Ofisa wa SSRA David Nghambi
Dar es Salaam. Mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii nchini (SSRA)
Wanafunzi 2,348 washinda rufaa za mikopo ya elimu ya juu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetuma vyuoni majina ya wanafunzi 2,348
HABARI
Asilimia 69 ya Watanzania wanakabiliwa na njaa
HABARI
DC apiga marufuku ulaji wa kitimoto
HABARI
Vita dhidi ya mihadarati yanasa 22 Sumbawanga
by Taboola Sponsored Links You May Like
That's How You Find Super Cheap Hotels!
Save70
Watch: An Amazing 360 Experience Of Abu Dhabi's Sights And Sounds
CNN for Abu Dhabi Tourism
Beyoncé announces she's pregnant with twins
Reuters TV
The 20 Best Luxury SUVs
Carophile
Now You Can Track Your Car Using Your Smartphone
Smart Device Trends
The Best Western Films of All Time
PrettyFamous — By Graphiq
Have You Seen How Terrifying These Celebs Look?
PressRoomVIP
Top 10 College Degrees And Jobs That Will Always Be In Demand
Womensarticle.com
ADVERTISEMENT
HABARI MPYA
1
MICHEZO Hat-trick ya Ronaldo yaiua Atletico Madrid
2
HABARI Mbatia awashukuru wanaomfariji
3
HABARI Madiwani wapigwa ‘stop’ kuvaa jeans kwenye vikao
4
HABARI Vita dhidi ya mihadarati yanasa 22 Sumbawanga
5
Chapisha Maoni